Jifunze Bure Kabisa — Mtoto Yoyote Anaweza Kuingia!

Hakuna malipo wala vikwazo. Chagua darasa (Darasa 1–7) au kozi ya Extra Curriculum na uanze kujifunza papo hapo.

Masomo ya Darasa la 5 (Bure Kabisa)

🎓

Masomo Yote na Kozi za Vipaji Zimefunguliwa Bure!

Mtoto yoyote anaweza kusoma, kufanya maswali, na kujikusanyia alama za XP bila kulipa chochote.

🎹 Extra Curriculum — Stadi & Vipaji (Bure Kabisa)

Muziki, Coding, Uchoraji, Chess, Kifaransa & Public Speaking — zote zinapatikana bure kwa kila mtoto.